Jambo!
Hello!
Karibu Tanzania!
Welcome to Tanzania!
Hakuna matata!
No problem
AsanteSana
Thank you very much
Jina lako ni nani?
What is your name?
Jina langu ni Mana
My name is Mana
Ninatoka Uingereza
I am from England
Mimi ni mwanafunzi
I am a student.
Unakwenda wapi?
Where are you going to?
Naenda safari
I am going on safari
Nimefurahi sana!
I am very happy!
Naomba bia baridi
Please bring me a cold beer.
Safari njema
Have a good trip.
Fika salama
Arrive safely.
Bei gani?
What is the price?
Ninataka …
I want …
Karibu tule
Welcome, let’s eat!
Asantesana kwa kunikaribisha
Thank you very much for inviting me.
Ninapenda Tanzania
I like Tanzania.
Lala salama
Sleep well.
Tutaonana kesho
We will see each other tomorrow.
Mpaka baadaye
Until later
Kwaheri!
Goodbye!
Mambo mazuri hayana haraka
Good things cannot be rushed.
Twende!
Let’s go!
Pole sana
Very sorry
Mazingira ya Tanzania yanapendeza sana
The Tanzanian environment is very nice
Naomba kupita
Please let me pass
Nasikia njaa
I am hungry
Nasikia kiu
I am thirsty
Muda unapita kama upepo
Time is flying like the wind
Sijui
I don’t know
Sielewi
I don’t understand
Kuna baridi huku
It is cold here
Kuna joto sana huku
It is very hot
Imetosha
It is enough
Nimeshiba sana
I am very full
Ninaweza kuzungumza Kiswahili
I can speak Swahili
Siwezi kusema Kiswahili!
I can’t speak Swahili!
Sitaki
I don’t want any